Are you 18 years old or above?
film
#dunia
Ni single series
furaha wakati mwengine inaweza kuleta Mjuto makubwa maana unachopanga wewe huwenda kikabadirishwa kutokana na furaha . fuatilia kisahiki mpaka mwisho upate funzo hapa 35 minutes of Birth Day
DHIKRI BABU KUBWA
Simuamini Mtu hadi kufikia kumuweka ni sehemu ya maisha yako ndomana wahenga waka sema "KIKULACHO KINGUONI MWAKO" hicho ndicho kilicho mfika kijana Zakaria katika filamu hii songa nayo ujifunze kitu