DADA WA DIAMOND:
2 Visningar
Cimagencytz
25/05/24
Esma Platnum ni Dada wa Msanii Diamond Platnumz amezungumza anachokifahamu yeye ni kuwa Diamond na Zari hawajaachana na kuhusu Post ya Zari yeye hakumuuliza Diamond wala Zari kwani anaona ni mambo ya Kifamilia na hawezi kuingilia, Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY
Visa mer
Facebook-kommentarer
Inga kommentarer hittades